• Ei tuloksia

Maelekezo kwa matumizi ya barakoa, yaani maski Tumia maski ukitembea miongoni mwa watu. Watu zaidi ya umri wa miaka 12 wanapendekezwa kwa kutumia maski.

N/A
N/A
Info
Lataa
Protected

Academic year: 2022

Jaa "Maelekezo kwa matumizi ya barakoa, yaani maski Tumia maski ukitembea miongoni mwa watu. Watu zaidi ya umri wa miaka 12 wanapendekezwa kwa kutumia maski."

Copied!
1
0
0

Kokoteksti

(1)

City of Jyväskylä 28.10.2020/12.1.2021

Original graphic design: Hämeen Sanomat / Soile Toivonen

Maelekezo kwa matumizi ya barakoa, yaani maski

Tumia maski ukitembea miongoni mwa watu. Watu zaidi ya umri wa miaka 12 wanapendekezwa kwa kutumia maski.

4. Hakikisha kwamba maski ikae vizuri usoni. Lazima ifunike pua, midomo na kidevu.

5. Usiiguse maski wakati wa kuitumia.

6. Nawa au kutakasa mikono kabla hujaiondoa maski.

7. Unapoondoa maski usiguse maski yenyewe ila kamba zake tu. Hasa epuka kugusa upande wa nje wa maski.

8. Tupa maski ya matumizi ya mara moja tu kwenye takataka moja kwa moja.

Weka maski ya kitambaa kwenye mfuko wa plastiki au mashine ya kufulia nguo.

9. Fua maski ya kitambaa kwenye mashine ya kufulia nguo kwa kutumia programu ya digrii 60 kila mara baada ya kuitumia maski. Au chemsha maski kwenye maji yenye sabuni kidogo kwa muda wa dakika 5.

10. Nawa au kutakasa mikono kila mara baada ya kuitumia maski.

1. Nawa au kutakasa mikono kabla hujaigusa maski.

2. Usiguse maski yenyewe ila kamba zake tu.

3. Vaa maski kwenye uso wako. Weka kamba nyuma ya masikio au kufunga kamba nyuma ya kichwa. Kwenye maski za matumizi mara moja tu, sehemu yenye chuma ikae juu.

Viittaukset

LIITTYVÄT TIEDOSTOT

Paloheimon ja Wibergin (1996, 150) mukaan esimerkiksi Iso-Britannia voidaan nimetä tällaisen enemmistödemokratian mallimaaksi. Niin kuin Iso-Britannian mallissa,

Median mer- kitsemät -teosta edeltäneessä Naisen naamio, miehen maski -teoksessa kirjoittajat keskit- tyivät tarkastelemaan kriittisesti sukupuo- len esittämiseen

Tosin l1ris Ruohon lievästi abstrakti artikkeli pohtii miestutkimuksen problematiikkaa s1käli teoreettisesti, että s·1itä olisi pienellä muokkauksella saanut vaikka

diamond, osittain yhdessä eric maski- nin kanssa, analysoi myös tasapainon tehok- kuutta etsintämalleissa ja osoitti, että etsintä- mallien tasapaino ei tyypillisesti ole

In another verse of Sefer Yetzirah, God is said to have formed something real (mamash) out of tohu. It can be deduced from this that tohu itself is not anything real. In the

[r]

Kyllö, Íkääntyneiden palvelut osasto 2 Keskussairaalantie 20, 40620 Jyväskylä7.

Tutkielman analyysista käy ilmi, että kotimainen YA-kirjallisuus sisältää sekä nuoren että nuoren aikuisen kehitystehtäviä. Nuoruusvaiheen kehitystehtäviä löytyy